×

Geah Habibu's video: MKE AFUKUZWA KWENYE MSIBA WA MUMEWE HAKUMUUGUZA WAKATI ANAUMWA NDUGU WAJA JUU MAJIRANI WAFUNGUKA

@MKE AFUKUZWA KWENYE MSIBA WA MUMEWE/HAKUMUUGUZA WAKATI ANAUMWA/NDUGU WAJA JUU/MAJIRANI WAFUNGUKA
Kutoka maeneo ya Bombambili jijini Dar es salaam ndipo tukio hili limetokea ambapo mke wa marehemu amefukuzwa kwenye msiba wa Mumewe kwa madai ya kuwa hakumuuguza kipindi mume anaumwa.Kwa mujibu wa ndugu wa mume pamoja na majirani wanasema Mke huyo aliondoka nyumbani kipindi mumewe akiwa mgonjwa kwa takribani mwaka mmoja hadi sasa huku akiwaacha watoto na baba yao mgonjwa. Fwatilia tukio hili ujionee mwenyewe mambo yalivyokuwa kwenye msiba

659

635
Geah Habibu
Subscribers
371K
Total Post
1.4K
Total Views
2.4M
Avg. Views
19K
View Profile
This video was published on 2021-02-15 21:40:11 GMT by @Geah-Habibu on Youtube. Geah Habibu has total 371K subscribers on Youtube and has a total of 1.4K video.This video has received 659 Likes which are higher than the average likes that Geah Habibu gets . @Geah-Habibu receives an average views of 19K per video on Youtube.This video has received 635 comments which are higher than the average comments that Geah Habibu gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Geah Habibu #MatukioyaGeah #geahhabibu #GeahTv has been used frequently in this Post.

Other post by @Geah Habibu