×

Habari za UN's video: Mume wangu aliuawa mimi wamenijeruhi sikio- Hawaye

@Mume wangu aliuawa, mimi wamenijeruhi sikio- Hawaye
Walimuua mume wangu, walijeruhi mwanangu na mimi walinipiga, ni simulizi ya mama ambaye sasa yuko na watoto wake nchini Chad akitokea Sudan kwani nchini mwake ni kama wasemavyo wahenga, Amkani si shwari kufuatia mapigano yaliyoanza tarehe 15 mwezi Aprili mwaka huu ambayo pamoja na kuua zaidi ya watu 700 wengine zaidi ya 300,000 wamekimbilia nchi jirani ikiwemo Chad na miongoni mwao ni Hawaye Ibrahim. Ungana na Assumpta Massoi kwenye simulizi hii iliyofanikishwa na UNHCR.

2

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.4
View Profile
This video was published on 2023-05-26 11:50:41 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 2 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.4 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Walimuua has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN