×

MUHIDIN MICHUZI's video: RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA

@RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe magufuli akiwa ameambatana na mgeni wake Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza aliewasili mapema leo katka uwanja wa mpira wa Lemela mjini Ngara,Rais Dkt Magufuli amempokea Rais Nkurunziza akiwa kwenye ziara yake kikazi mkoani Kagera. Aidha Rais Nkurunziza baada ya kupokelewa na Mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli,alipata wasaa wa kuwasalimia wananchi mbalimbali waliofika kumpokea katika uwanja huo wa mpira mjini Ngara.

11

0
MUHIDIN MICHUZI
Subscribers
84.6K
Total Post
1.3K
Total Views
414.8K
Avg. Views
4.8K
View Profile
This video was published on 2017-07-20 14:25:42 GMT by @MUHIDIN-MICHUZI on Youtube. MUHIDIN MICHUZI has total 84.6K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 11 Likes which are lower than the average likes that MUHIDIN MICHUZI gets . @MUHIDIN-MICHUZI receives an average views of 4.8K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that MUHIDIN MICHUZI gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @MUHIDIN MICHUZI