×

The Seekers online Tv's video: Kampeni za uchimbaji madini kijijini magamba zagonga mwamba Mh Dotto Biteko akubali yaishe maagizo -

@Kampeni za uchimbaji madini kijijini magamba zagonga mwamba/Mh Dotto Biteko akubali yaishe/maagizo -
Asante Kwa kuendelea kuwa mwanafamilia wa suzan classic channel na kisha uwe wa kwanza kupata taarifa zetu , ASANTE SANA https://www.youtube.com/channel/UCGaNYKeDZZkVe_B_csLUVMQ Mkutano wa mheshimiwa waziri wa madini ndugu Dotto Biteko ulimalizika Kwa wananchi wa magamba kukataa kwanamna yoyote ile madini kuchimbwa Kwa sababu itakuwa ndo mwanzo wa kuharibiwa kwa tunu ya misitu, maji, kilimo na maisha kwa ujumla kama ilivyoelezwa na wananchi hao, hata hivyo mkutano huo ulianza Kwa zomea zomea hadi pale aliposimama mkuu wa wilaya ya Lushoto na mheshimiwa mkuu wa mkoa na kukemea vikali Tabia hiyo Mh. Waziri alkmaliza malumbano Kwa kuagiza uchimbaji wa aina yoyote ile kusimama Mara moja. Hadi tathmini ya madhara itakapotolewa na NEMC

2

0
The Seekers online Tv
Subscribers
1.8K
Total Post
42
Total Views
36.5K
Avg. Views
775.7
View Profile
This video was published on 2019-08-31 14:22:46 GMT by @-The-Seekers-online-Tv on Youtube. The Seekers online Tv has total 1.8K subscribers on Youtube and has a total of 42 video.This video has received 2 Likes which are lower than the average likes that The Seekers online Tv gets . @-The-Seekers-online-Tv receives an average views of 775.7 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that The Seekers online Tv gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @ The Seekers online Tv