×

Alama Online TV's video: MALI ZA UMMA ZAWATOKEA PUANI WATUMISHI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA WIZI

@MALI ZA UMMA ZAWATOKEA PUANI WATUMISHI / WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA WIZI
NA Dicksoni Kapungu SONGWE Tarehe 15/02/2021 OFISI YA TAKUKURU MKOA WA SONGWE IMEWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI WAWILI WA UMMA KWA MAKOSA YA WIZI. Ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Songwe leo tarehe 15/02/2021 imewafikisha watumishi wa umma wawili(02) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Songwe. Watumishi hao wanatuhumiwa kwa nyakati tofauti kutenda makosa ya Wizi wakiwa Watumishi wa Umma kinyume na kifungu cha 270 cha Kanuni ya Adhabu, sura ya 16 ya Mwaka 2019. Mtumishi Jenson Jelas Shitindi (miaka 48) amefunguliwa kesi ya Jinai Na.32/2021 katika mahakama hiyo Mbele ya Hakimu Mkazi Mh.Vitalis Changwe. Akimsomea shtaka linalomkabili, Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU Mkoa wa Songwe Bw.Emanuel Ndembeka alisema kwamba mshtakiwa kwa tarehe tofauti kati ya m waka 2015 na mwaka 2020 akiwa katika Kijiji cha Mlangali kilichopo wilayani Mbozi Mkoani Songwe,kwa nia ovu na pasipokuwa na uhalali wowote, akiwa ni Mwajiriwa wa Halmashauri

1

0
Alama Online TV
Subscribers
50K
Total Post
2.8K
Total Views
165.8K
Avg. Views
1K
View Profile
This video was published on 2021-02-15 22:12:50 GMT by @ALAMA-ONLINE-TV on Youtube. Alama Online TV has total 50K subscribers on Youtube and has a total of 2.8K video.This video has received 1 Likes which are lower than the average likes that Alama Online TV gets . @ALAMA-ONLINE-TV receives an average views of 1K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Alama Online TV gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Alama Online TV #Watumishi #Wakamatwa #Songwe NA has been used frequently in this Post.

Other post by @ALAMA ONLINE TV