×

Nyange Online Tv's video: Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

@Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Tafadhali Subscribe, Weka Comment yako na Share na Wengine... Kwa Audio MP4 kama hizi usiache ku - subscribe kwenye channel hii ili uwe wa kwanza kusikiliza kila mara tutakapoweka wimbo mpya. Stay tuned..... Zaburi 23. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele

12

0
Nyange Online Tv
Subscribers
11.5K
Total Post
115
Total Views
203.4K
Avg. Views
3.1K
View Profile
This video was published on 2021-01-03 00:07:26 GMT by @Advent-Hope on Youtube. Nyange Online Tv has total 11.5K subscribers on Youtube and has a total of 115 video.This video has received 12 Likes which are lower than the average likes that Nyange Online Tv gets . @Advent-Hope receives an average views of 3.1K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Nyange Online Tv gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Advent Hope