×

TANZANIA GOSSIP's video: MANGE KIMAMBI ATOA ONYO LA MWISHO KWA DIAMOND ACHANA NA WANAWAKE VIZEE ZARI TANASHA NDO MNAENDANA

@MANGE KIMAMBI ATOA ONYO LA MWISHO KWA DIAMOND “ACHANA NA WANAWAKE VIZEE(ZARI) TANASHA NDO MNAENDANA”
TAZAMA MANGE KIMAMBI AMCHANA DIAMOND AACHE KUANGAIKA NA WANAWAKE VIZEEE Soma 👇👇👇 DADA WA TAIFA @mangekimambi_ ANASEMA “Kwa wanaume wengine don't try this kama huna hela, it won't work Duh, lla Dai ana raha jamani. Yani wanawake zake wanakazi ya kupishana airport kupandisha watoto mandege, Kha! Jamani kizee mwenzangu wa Sauzi embu grow up, hivi huoni aibu kujiingiza kwa hizi drama? Bora hao kina Tanasha watasingizia umri unasumbua wewe kizee mwenzangu una kisingizio gani? Tanasha mi namuelewa anatafuta maisha na kub0ost career yake. Yule wa South anaedai ye tajiri why anafanya huu ujinga? So baadae Bi Tukinao will go back there and stay in the same house again? Jamani kwani ya Dai ya dhahabu ama? Mnajua sielewi?. Kwanza why mnapandisha watoto mandege? why yeye ndo asiende kuona watoto? Au atume mamake abebe watoto waende Dar why wewe mwanamke mpaka ujipeleke na wewe kujichoresha? Kama Zari alivyo kuwa anafatana na Dai mpaka mpirani, what was that for kama sio kujichoresha na ndo mwanaume anazidi kukudharau, anakuona cheap, alafu ukiangalia picha alizoposti Zari na alizoposti Dai za siku ile mpirani unaona kabisa nani anashoboka na nani hana time. Guys this is not co-parenting. Wanachofanya wanawake wa Dai ni pure stupidity. Mimi nna coparent na ex husband wangu ila hadi leo hii sijui ndani kwake panafanana vipi. Nikipeleka watoto ni anatoka nje anawachukua, hata kwenye gari sishuki na yeye akiwadrop hivyo hivyo ananitumia message nashuka chini nabeba wanangu bomba. Siku moja alisema yuko bafuni niingie nao ndani niwaache sebleni, wee mbona nilimsubiria akamaliza kuoga. Siingiii kwake, niingie for what? Hawa wanawake wa Dai wote bado wanampendaaaa ndo maana wanajichoresha in the name of coparenting. e Anyways Dai na Tanasha wanapendezana warudiane tu, Lol. Sio yule kizee mwenzangu alikuwa anaonekana kama shangazi yake. lla navyomjua Bi Tukinao huko aliko roho inamuuma kufaaaa, harudi tena Dar . Haendi ng'oo sio kwa aibu hii .Mwenzie anapetiwa in public ye hata hug ilikuwa ngumu kupewa.Alijua pale atakuwa anafikia yeye na wanae tu, yani yule sijui lini atakuja kumjua Dai vizuri.” FOLLOW NOW ON INSTAGRAM 👇👇👇

10

1
TANZANIA GOSSIP
Subscribers
135K
Total Post
81
Total Views
4.5M
Avg. Views
42.7K
View Profile
This video was published on 2021-01-25 17:49:02 GMT by @BONGO-TREND-HABARI on Youtube. TANZANIA GOSSIP has total 135K subscribers on Youtube and has a total of 81 video.This video has received 10 Likes which are lower than the average likes that TANZANIA GOSSIP gets . @BONGO-TREND-HABARI receives an average views of 42.7K per video on Youtube.This video has received 1 comments which are lower than the average comments that TANZANIA GOSSIP gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @BONGO TREND HABARI