×

Breez Online Tv's video: Karama ya Padre MBILINYI-Tazama alivyowabariki waumini wa Parokia ya Sinza wakati wa Homilia yake

@Karama ya Padre MBILINYI-Tazama alivyowabariki waumini wa Parokia ya Sinza wakati wa Homilia yake.
Padre Deusdediti Mbilinyi wa shirika la Mungu Mwokozi (Salvatorian) ambaye kwa sasa Anauendea mwaka wa Pili tangia apate daraja Takatifu la Upadre amekuwa Baraka kwa wengi kutokana na Aina yake ya Mafundisho ambayo yanagusa maisha ya watu moja kwa moja Kwa sasa anahudumu Nchini Kenya Jimbo la Eldoreti kama Mlezi wa vijana kutoka Uganda na Kenya, walio na Uelekeo wa kuwa watawa na Mapadre. Hii ni Homilia yake katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza alipoadhimisha ibada ya Misa takatifu Dominika ya tarehe 18/06/2023.

34

7
Breez Online Tv
Subscribers
75.5K
Total Post
2K
Total Views
513.9K
Avg. Views
4K
View Profile
This video was published on 2023-06-20 18:45:38 GMT by @Breez-Online-Tv on Youtube. Breez Online Tv has total 75.5K subscribers on Youtube and has a total of 2K video.This video has received 34 Likes which are higher than the average likes that Breez Online Tv gets . @Breez-Online-Tv receives an average views of 4K per video on Youtube.This video has received 7 comments which are lower than the average comments that Breez Online Tv gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Breez Online Tv #breezonlinetv #kanisakatoliki #daressalaam has been used frequently in this Post.

Other post by @Breez Online Tv