×

Buku Tano's video: Masikini Mwanamke Huyu: Ni Hatari Kuendesha Gari Kwenye Mvua Kama Hii

@Masikini Mwanamke Huyu: Ni Hatari Kuendesha Gari Kwenye Mvua Kama Hii
Katika kipindi hiki cha mvua nyingi, ni hatari sana kuendesha gari hasa kwenye maeneo yenye mikondo ya maji. Maji kidogo yanaweza kudharauliwa ila yakakuangamiza. Video hii ilirekodiwa nchini DR Congo na anayetajwa kukutwa na madhira haya ni Furaha Blungwe mwanasheria aliyekuwa anaishi Bukavu. ALipoteza maisha na mwili wake kuonekana baada ya siku tatu. Ameacha mume na mtoto mmoja. Zipo habari zinazoeleza kuwa siku kadhaa kabla ya tukio hilo, mama huyo aliota ndoto akimezwa na maji.

527

106
Buku Tano
Subscribers
109K
Total Post
79
Total Views
1.3M
Avg. Views
24K
View Profile
This video was published on 2017-05-03 20:10:11 GMT by @Buku-Tano on Youtube. Buku Tano has total 109K subscribers on Youtube and has a total of 79 video.This video has received 527 Likes which are higher than the average likes that Buku Tano gets . @Buku-Tano receives an average views of 24K per video on Youtube.This video has received 106 comments which are higher than the average comments that Buku Tano gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Buku Tano