VIPAJI TANZANIA's video: WIMBO MPYA WA NANDY FT KOFFI OLOMIDE AMTAJA DIAMOND KWENYE WIMBO WAKE
@WIMBO MPYA WA NANDY FT KOFFI OLOMIDE AMTAJA DIAMOND KWENYE WIMBO WAKE
Nguli wa muziki Afrika Koffi Olomide maarufu Mopao, ametua Bongo usiku wa kuamkia leo Januari 26, 2021, kwaajili ya kukamilisha collabo yake na msanii Nandy.
Msanii nandy baada ya kumpokea Koffi ambaye pia amemletea zawadi Nandy na kumkabidhi pale pake kwenye uwanja wa ndege.
Ujio wa Koffi Olomide Dar es Salaam ni kufanya videp ya wimbo wa Leo ambao Nandy amemshirikisha Nguli huyo wa muziki na inasemekana audio ya wimbo huo ilifanyika tangu mwaka jana 2020.
VIPAJI TANZANIA's video: WIMBO MPYA WA NANDY FT KOFFI OLOMIDE AMTAJA DIAMOND KWENYE WIMBO WAKE
7
0