×

COASTENEWS's video: Uhusiano wa rayvanny na paula Mapenzi ya Rayvanny na Fayma haipo tena harmonize na kajala

@Uhusiano wa rayvanny na paula | Mapenzi ya Rayvanny na Fayma haipo tena | harmonize na kajala
Rayvanny na Paula masanja wameonyesha wazi kwamba wako kwenye uhusiano wa kimapenzi. Wawili hawa wamekuwa wanaonekana pamoja kwa mda. Juzi Rayvanny aliondoka na Paula masanja mpaka zanzibar kwa tamasha. Wawili hawa walionekana kuvaa sare za kufanana huku wameshikana mikono wakionyesha ishara ya mapenzi. Hapo nyuma kulikuwa na ugomvi Kati ya Rayvanny na harmonize, harmonize akidai rayvanny anamharibia maisha Paula masanja kwa kumuingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi. Harmonize alidai Paula masanja anafaa kukamilisha masomo yake mwanzo na chenye Rayvanny alikuwa anakifanya hakiruhisiwi kwa jamii. Baadae ilijulikana kwamba bali na kuwa kwenye uhusiano na kajala, harmonize pia alikuwa na uhusiano na mwanawe kajala almaarufu Paula masanja. Cha ajabu ni kwamba harmonize alikuwa anamtongoza Paula akijua wazi ako kwa uhusiano na mamake. Kwa sasa Rayvanny ameamua kumalizia chenye alianzisha na huenda harusi ikafanyika hivi karibuni. Harmonize itabidi atazame kwa mbali kwani yaonekana Rayvanny harudi nyuma. Hapa mwangaza news tunangojea mwaliko wa harusi ya Rayvanny na Paula masanja kwani inaonekana fahyma hana nafasi tena kwa Rayvanny na nafasi yake ni kama imechukuliwa na Paula masanja.

6

2
COASTENEWS
Subscribers
15.8K
Total Post
112
Total Views
1M
Avg. Views
20.1K
View Profile
This video was published on 2021-07-31 17:22:40 GMT by @COASTENEWS on Youtube. COASTENEWS has total 15.8K subscribers on Youtube and has a total of 112 video.This video has received 6 Likes which are lower than the average likes that COASTENEWS gets . @COASTENEWS receives an average views of 20.1K per video on Youtube.This video has received 2 comments which are lower than the average comments that COASTENEWS gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @COASTENEWS