×

DJ NINJA 254's video: Jinsi Ya Kununua Tokens Za KPLC KenyaPower kutumia Safaricom Bonga Points

@Jinsi Ya Kununua Tokens Za (KPLC) / KenyaPower kutumia Safaricom Bonga Points
Hivi majuzi kampuni ya mawasiliano ya Safaricom ikishirikiana na kampuni ya umeme ya Kenyapower (KPLC),wameweza kufanikisha unununuzi wa KPLC tokens kutumia Bonga Points za Safaricom. Kununua tokens za KPLC,utabonyeza *126 # kisha uchague chaguo nambari Moja ya "LIPA NA NA BONGA POINTS",kisha uchague "PAYBILL",weka nambari ya Paybill ya KPLC tokens ambayo ni: 888880,kisha uweke nambari ya akaunti ambayo huwezi na nambari kumi na moja.Weka kiwango cha pesa,weka "PIN" ya Bonga Points na usubiri ujumbe kutoka Safaricom na ujumbe mwingine kutoka Kenyapower wa tokens. Ahsanteni sana kwa muda wenu.

20

0
DJ NINJA 254
Subscribers
60.5K
Total Post
158
Total Views
5.9M
Avg. Views
54K
View Profile
This video was published on 2020-08-10 21:20:02 GMT by @DJ-NINJA on Youtube. DJ NINJA 254 has total 60.5K subscribers on Youtube and has a total of 158 video.This video has received 20 Likes which are lower than the average likes that DJ NINJA 254 gets . @DJ-NINJA receives an average views of 54K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that DJ NINJA 254 gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.DJ NINJA 254 #Safaricom #Kplctokens #KenyaPower #Kplc Hivi # has been used frequently in this Post.

Other post by @DJ NINJA