×

DSS TANZANIA's video: Wilaya ya longido ni wilaya mfano kwa kukamlisha miradi Naibu waziri TAMISEMI David Silinde

@Wilaya ya longido ni wilaya mfano kwa kukamlisha miradi Naibu waziri #TAMISEMI David Silinde
Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Longido kwa kukamilisha ujenzi wa madarasa na mabweni yote katika mradi wa lipa kwa matokeo EP4R kwa vizuri na kubana matumizi ya ununuzi wa vifaa. Hayo ameyasema baada ya kutembela shule mbili za longido secondary na shule ya msingi Sinya na kukuta wamemaliza ujenzi wa mabweni mawili na madarasa kwa gharama ile ile waliyopewa na serikali na kusema walimu hao wameonesha uaminifu wa fedha za umma kwa matumizi mazuri na yeye atawasemea vizuri wapandishwe vyeo kwa kufanya vizuri. Wilaya ya longido ni wilaya mfano kwa kukamlisha miradi yote ya mabweni katika wilaya hiyo katika shule zaidi ya nne walizopelekewa na serikali kwa gharama zilezile licha ya kuwa mbali na mji wa Arusha mpakani mwa Tanzania na Kenya

2

1
DSS TANZANIA
Subscribers
64.1K
Total Post
1.3K
Total Views
38.6K
Avg. Views
327.4
View Profile
This video was published on 2021-01-14 13:39:19 GMT by @DSS-TANZANIA on Youtube. DSS TANZANIA has total 64.1K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 2 Likes which are lower than the average likes that DSS TANZANIA gets . @DSS-TANZANIA receives an average views of 327.4 per video on Youtube.This video has received 1 comments which are higher than the average comments that DSS TANZANIA gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @DSS TANZANIA