×

DSS TANZANIA's video: WANANCHI Wavuka MTO kwa KAMBA MKOANI SONGWE dss ONLYYOU tanzania

@WANANCHI Wavuka MTO kwa KAMBA MKOANI SONGWE #dss #ONLYYOU #tanzania
WANANCHI Wavuka MTO kwa KAMBA , MWENYEKITI AKASIRISHWA - " UHAI HAUJARIBIWI , KATENI KAMBA " .. SIKILIZA Wananchi Wilayani Momba Mkoani Songwe wameiomba Serikali kukarabati kivuko kinachounganisha kata za Nzoka na kapele kupitia Vijiji vya Nzoka na Ipatikana , kutokana na kuharibika kwa kivuko hicho miaka minne iliyopita . Wakizur umza na Mwandishi etu , Wananchi hao wamesema kwa miaka minne mfululizo imewalazimu kuvuka kwa kubembea katika waya kutokana na kukosa kabisa eneo la kuvuka baada ya kivuko kinachounganisha Vijiji hivyo kuharibiwa na magogo yaliyosombwa na Maji katika mto Momba wakati wa mvua na kusomba mbao zilikuwa ni sehemu ya daraja hilo me

1

0
DSS TANZANIA
Subscribers
64.1K
Total Post
1.3K
Total Views
38.6K
Avg. Views
327.4
View Profile
This video was published on 2022-01-16 14:07:22 GMT by @DSS-TANZANIA on Youtube. DSS TANZANIA has total 64.1K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 1 Likes which are lower than the average likes that DSS TANZANIA gets . @DSS-TANZANIA receives an average views of 327.4 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that DSS TANZANIA gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.DSS TANZANIA #dss #OnlyYou #dsshabari #magarinafuu #magaritunduma #siasa #followme #kichangadgetsonamazon #yotubeshorts has been used frequently in this Post.

Other post by @DSS TANZANIA