×

Darassa's video: Darassa ft Ben Pol - Muziki Full Song Audio

@Darassa ft Ben Pol - Muziki Full Song (Audio)
Get it on iTunes: https://geo.itunes.apple.com/album/id1224659967 Stream on Spotify - https://goo.gl/d507Jg Darassa Other Video Songs: Muziki: https://goo.gl/IEJSG9 Too Much: https://goo.gl/zyynXL Kama Utanipenda: https://goo.gl/MOhOYx Heya Haye: https://goo.gl/kywYLi Sikati Tamaa: https://goo.gl/478PZ9 Tunaishi: https://goo.gl/xgfsPB Nishike Mkono: https://goo.gl/ynbixu Sio Mbaya: https://goo.gl/BK82mg Darassa and Ben Pol release MUZIKI, The song is all about Music and Life but also is a party song as produced by Three Upper Class Tanzanian Different's Producers Mr. Vs, Abbah and Mr T Touch. This is the second collaboration of Darassa and Ben Pol after four years Since "SIKATI TAMAA" The Music video was shot in Tanzania as Directed By Hanscana Written by Darassa Instagram: http://www.instagram.com/darassacmg255 Twitter: https://www.twitter.com/darassa_cmg Song Lyrics: Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite Mbwana Samatta Wanaota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia An let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia. So simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaan bambaa tu bambaa Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa sinzia fegi uchome kibanda Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga Maisha na muziki acha maneno weka muziki..., Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (Yeeeeah) Safari na muziki acha maneno weka muziki (Yeeeah) kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki Bambataaa shika kamataa Pumba chakacha napokaa mchiz nshadataa nshadataaah Unataka kukimbia na hauna brekii what do you expect??? Bongo Congo kwa thabo mbeki cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make. Watch urself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huna mchuzi no excuse, Maisha yetu ya kila siku kama vile movie Vitu vingine havitakag ujuaj utajikuta unatandikia watu jamvi Kusubiria embe chini ya mnazi, Kumuelewesha chizi utajipa kazi. Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba. Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga. (Uwiiiiiii) Rpt chorus... Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top I that I told you that we don't stop we don't stop..."walker"

614

30
Darassa
Subscribers
695K
Total Post
82
Total Views
106.7M
Avg. Views
1.6M
View Profile
This video was published on 2017-04-06 16:42:25 GMT by @Darassa on Youtube. Darassa has total 695K subscribers on Youtube and has a total of 82 video.This video has received 614 Likes which are lower than the average likes that Darassa gets . @Darassa receives an average views of 1.6M per video on Youtube.This video has received 30 comments which are lower than the average comments that Darassa gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Darassa