×

SKILLS 360 TV's video: Upendo wa kweli maishani mwako Swahili motivation Swahili version

@Upendo wa kweli maishani mwako|Swahili motivation|Swahili version.
Upendo ni njia iliyo njia muhimu kwenye maisha ya mtu, Upendo huleta usawa na urahisi wa Mtu kuishi vyema katika Dunia hii. -Mwenye Upendo kajipenda, aliye jipenda kampenda Mungu, aliye mpenda mungu hajipendelei Wala hajipendekezi, anaupendo. -Ukiwapenda wanao kupenda ni usanii, ukipenda penda ukipendwa pendeka, Upendo haupendwi Upendo kazi yake ni kupenda tu. -Ukiona unashangazwa na Upendo mzuri wa Wana ndoa wawili na hauelewi, elewa tu mmoja anapenda na mwingine anatii Upendo, hawapendani. -Mwenye Upendo hana majivuno, mvumilivu, husitili, hajipendekezi, hajipendelei. -Upendo hubeba shida, mabaya, machafuko, mema, mazuri nakadhalika, kuyapoza ili yaliyo Shida yasiwe, yaliyo mabaya yasiwe, yaliyo mema yaendelee, yaliyo mazuri yaendelee.................. Watch The last sawahili video motivation👉 https://youtu.be/0TOnkOvAab0?si=FoMRALMGRWWDgCoz Subscribe here 👉https://www.youtube.com/@Dj4sTv

0

0
SKILLS 360 TV
Subscribers
10.7K
Total Post
49
Total Views
13.2K
Avg. Views
155.2
View Profile
This video was published on 2024-01-01 16:57:00 GMT by @Dj4sTv on Youtube. SKILLS 360 TV has total 10.7K subscribers on Youtube and has a total of 49 video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that SKILLS 360 TV gets . @Dj4sTv receives an average views of 155.2 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that SKILLS 360 TV gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Dj4sTv