×

SKILLS 360 TV's video: FURAHA YA KWELI MAISHANI MWAKO SWAHILI MOTIVATION SWAHILI VERSION

@FURAHA YA KWELI MAISHANI MWAKO|SWAHILI MOTIVATION|SWAHILI VERSION.
Maisha halisi ya Mtu katika Dunia hii, furaha ni nyenzo kuu ambayo inashikilia mtililiko thabiti wa maisha. -Furaha maishani mwako, ni wakati wewe unafuraha na wewe mwenyewe. -Mwenye furaha maishani mwake, kafanyika furaha kwa wengine, akionekana wanaelewa furaha ile inakuja. -Mwenye furaha maishani mwake, hafurahishwi haraka ili kufurahi kwani yeye mwenyewe ni furaha tayali. -Mwenye furaha maishani mwake, hajitahidi kutafuta vya kumfurahisha na anaye jitahidi kutafuta vya kumfurahisha hajaifikia furaha bado. -Mwenye furaha maishani mwake kampenda mungu, Kisha akajipenda Kisha akapenda wengine wote kwa.................. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII HAPA👉https://www.youtube.com/@Dj4sTv

0

0
SKILLS 360 TV
Subscribers
10.6K
Total Post
15
Total Views
13.4K
Avg. Views
138.4
View Profile
This video was published on 2023-12-28 11:21:46 GMT by @Dj4sTv on Youtube. SKILLS 360 TV has total 10.6K subscribers on Youtube and has a total of 15 video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that SKILLS 360 TV gets . @Dj4sTv receives an average views of 138.4 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that SKILLS 360 TV gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Dj4sTv