×

SKILLS 360 TV's video: Muda katika maisha yako sehemu ya mwisho Swahili motivation Swahili version

@Muda katika maisha yako sehemu ya mwisho|Swahili motivation|Swahili version|
Uumbwaji wa ulimwengu na Dunia hii ni katika sheria huru, ambapo kila Mtu Mwenye kiu na ufanisi anapaswa kujiingiza katika sheria hizo na sheria moja wapo ni MUDA. -Anaye tumia muda kutimiza, kachagua sheria huru ya uumbwaji wa ulimwengu, na anaye kimbizana na muda usimuache ili atimize, kachagua umri, na umri ni kwa Mwili tu si kwa Mtu aliye na mwili. -Ukikimbizana na muda usikuache ili kutimiza kufanikiwa, tegemea kuwa usiye na huruma, kuwa mbinafsi, kuto kujali wengine, moyo wa kuangamiza wengine, kujisahau utu wako kisha Mwili pia. -Usemapo miaka katika Dunia hii ya muda ni muda, Usemapo Mwaka ni muda, Usemapo miezi ni muda, wiki ni Muda, saa ni muda, dakika ni muda............. Watch The last sawahili video motivation👉 https://youtu.be/CJXnMYRIy7k?si=LzdCUv3ebP8WNggC Subscribe here 👉https://www.youtube.com/@Dj4sTv

0

0
SKILLS 360 TV
Subscribers
10.6K
Total Post
15
Total Views
13.4K
Avg. Views
138.4
View Profile
This video was published on 2024-01-22 14:41:24 GMT by @Dj4sTv on Youtube. SKILLS 360 TV has total 10.6K subscribers on Youtube and has a total of 15 video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that SKILLS 360 TV gets . @Dj4sTv receives an average views of 138.4 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that SKILLS 360 TV gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Dj4sTv