×

Geah Habibu's video: FAMILIA HII INA HEKAHEKA KUBWA MTOTO HAPATANI NA WAZAZI ADAI MAMA HAMPENDI MAMA ALIA KWA UCHUNGU

@FAMILIA HII INA HEKAHEKA KUBWA/MTOTO HAPATANI NA WAZAZI ADAI MAMA HAMPENDI /MAMA ALIA KWA UCHUNGU
Kutoka Kinondoni Msisiri ndipo tukio hili limetokea ambapo Familia hii ipo kwenye Mtihani mkubwa ambapo Mtoto amekuwa akigombana na Mama yake mzazi pamoja na baba yake kwa madai ya kwamba wazazi wake hawampendi.Na Mara zote mama yake amekuwa akimpiga tangu akiw mdogo hadi sasa mtu mzima. Lakini kwa upande wa Mama nae alitoa malalamiko yake kwamba mtoto wake huyo amekuwa akimsumbua japo amemuhangaika sana hadi kulea wajukuu.Pamoja na yote mazuri aliyofanyia mwanae lakini mtoto wake amekuwa akimpiga na kumdhalilisha kwa kumtukana. Fwatilia tukio hili hapa kisha utoe maoni yako

742

1.6K
Geah Habibu
Subscribers
367K
Total Post
1.3K
Total Views
2.3M
Avg. Views
22K
View Profile
This video was published on 2021-01-08 15:58:02 GMT by @Geah-Habibu on Youtube. Geah Habibu has total 367K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 742 Likes which are higher than the average likes that Geah Habibu gets . @Geah-Habibu receives an average views of 22K per video on Youtube.This video has received 1.6K comments which are higher than the average comments that Geah Habibu gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Geah Habibu #geahhabibu #GeahTv #Hekaheka has been used frequently in this Post.

Other post by @Geah Habibu