×

Habari za UN's video: Rwanda imetupokea na kutukirimu: Wahamiaji toka DRC

@Rwanda imetupokea na kutukirimu: Wahamiaji toka DRC
Hali tete ya usalama inayoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC imewafanya watu wengi kufungasha virago kuyakimbia makazi yao na Kwenda kusaka usalama na mustakbali bora sehemu zingine ndani nan je ya nchi hususani nchi Jirani za Burundi, Uganda, Tanzania na Rwanda. Flora Nducha akiwa mjini Kigali Rwanda alipata fursa ya kutembelea moja ya eneo ambalo ni mashuhuri kwa kuwa na mafundi cherahani amnbao kwa asilimia kubwa wanatoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na kuzungumza nao kuhusu maisha yao ugenini na kazi ya ufundi cherehani wanayofanya ungana nao.

8

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2022-11-05 23:06:32 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 8 Likes which are higher than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #rwanda #unrwa #drc #Nyarugenge #refugees has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN