×

Habari za UN's video: Ulinzi wa amani miaka 75 Aliyekombolewa na MONUSCO azungumza

@Ulinzi wa amani miaka 75! Aliyekombolewa na MONUSCO azungumza
Katika Habari za UN hii leo, Leah Mushi anakuletea mada kwa kina na anakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kusikia maoni ya wananchi kuhusu ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO ikiwa tunaendelea na maadhimisho ya miaka 75 ya tangu kuanzishwa kwa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo wakimbizi nchini Chad, WMO na kauli ya kijana aliyejisalimisha UN baada ya kupigana msituni huko DRC. Katika kujifunza lugha ya Kiswahili Dkt. Mwanahija Ally Juma anachambua methali: Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama!

5

1
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2023-06-01 21:46:32 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 5 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 1 comments which are higher than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Katika has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN