×

Habari za UN's video: Tupande sisi wavune wao - Tsinduka

@Tupande sisi wavune wao? - Tsinduka
Leo siku ya familia duniani na mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, George Musubao amefika nyumbani kwa familia moja kufahamu changamoto za maisha wakati huu ambao inaelezwa kuwa kupungua kwa idadi ya familia kunaweza kuboresha huduma kwao. Lakini DRC kuna mapigano hapa na pale na hata mazao wakipanda hawapati fursa ya kuvuna.

3

1
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2023-05-16 01:14:12 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 3 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 1 comments which are higher than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Leo has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN