×

Habari za UN's video: Apu ya t-bu Lite yaleta mapinduzi katika tiba dhidi ya Kifua Kikuu au TB nchini Kenya

@Apu ya t-bu Lite yaleta mapinduzi katika tiba dhidi ya Kifua Kikuu au TB nchini Kenya.
Nairobi Kenya kumefanyika kongamano la kimataifa la wataalam wa kifua kikuu au TB limekunja jamvi hivi karibuni na likijadili mbinu mujarabu za kuimarisha ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za umma kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa huo hatari, ambao kwa mujibi wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO, TB ni moja ya magonjwa 10 yanayokatili maisha ya mamilioni ya watu duniani kila mwaka. Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa kifua kikuu duniani ni watu wazima na wengi wao ni wanaume kutoka kanda ya Afrika kKusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi wetu wa Kenya Thelma Mwadzaya alipata fursa ya kuhudhuria kongamano hilo lililofanyika sanjari na kutolewa kwa ripoti ya WHO ya hali ya TB duniani na kuzungumza na baadhi ya washiriki.

0

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2022-11-23 00:13:07 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Nairobi has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN