×

Habari za UN's video: Amani inaanza Na Mimi: Miaka 75 ya Ulinzi wa Amani wa UN

@Amani inaanza Na Mimi: Miaka 75 ya Ulinzi wa Amani wa UN
Kwa miaka 75, ulinzi wa amani wa UN umeleta mabadiliko chanya na dhahiri kwa mamilioni ya watu walionasa kwenye majanga. Walinda amani ni watu wa kawaida kabisa, wanaofanya kazi kwenye mazingira hatari na magumu ili kupata matokeo ya kipekee. Wanasaidia kuuzia migogoro, wanalinda raia, wanasongesha suluhu za kisiasa na kusaidia michakato ya kidemokrasia. Licha ya changamoto hizo, walinda amani wanastahimili, sambamba na wadau wengine katika juhudi za pamoja za kusaka amani. Kampeni ya UN ya Amani Inaanza Na Mimi, inatoa shukrani kwa walinda amani, wa zamani na sasa kwa huduma yao na kujitoa kwao, na kuonesha faida za walinda amani na wajenzi wa amani ambao wanahaha licha ya changamoto zote kujenga amani ya kudumu.Simulizi zao zinatuhamasisha sote kuchukua hatua kwa kutambua kuwa "amani inaanza na mimi."

3

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2023-05-12 19:29:31 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 3 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Kwa has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN