×

Habari za UN's video: Umoja wa mataifa uko mstari wa mbele kuwasaidia wanaoathirika na mafuriko Kenya

@Umoja wa mataifa uko mstari wa mbele kuwasaidia wanaoathirika na mafuriko Kenya
Umoja wa mataifa uko mstari wa mbele kuwapa msaada wakenya wanaotatizika kutokana na mafuriko. Msimu wa Mvua nyingi ulianza mwezi wa Machi na mafuriko yamewaacha maelfu bila makazi. Kwa upande wake, Umoja wa Mataifa umetoa msaada wa chakula, dawa, vyandarua vya mbu na bidhaa za makaazi ya muda. Yote hayo yanafanikishwa kupitia harakati za ushirikiano kati ya mashirika ya UNICEF, UNHCR na serikali ya Kenya. Maeneo yaliyoathoriwa zaidi ni ya mitaa ya mabanda kwenye mji mkuu, Nairobi.Thelma Mwadzaya alitembelea mtaa wa Kiambiu jijini Nairobi na kuandaa makala ifuatayo.

2

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2024-05-08 01:42:55 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 2 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Umoja has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN