×

Habari za UN's video: Kapteni Cecilia mshindi wa tuzo ya UN

@Kapteni Cecilia mshindi wa tuzo ya UN
Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Katibu Mkuu wa umoja huo Antonio Guterres amemtangaza Kapteni Cecilia Erzuah kutoka Ghana kuwa mshindi wa tuzo ya kila mwaka ya Mchechemuzi wa Masuala ya jinsia kwenye operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa. Katika tukio hilo lililofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Bwana Guterres amesema Kapteni Erzuah ameibuka kidedea kutokana na mchango wake kama mlinda amani wa kijeshi kwenye ujumbe wa mpito wa Umoja wa Mataifa huko Abyei eneo lililo katikati ya Sudan na Sudan Kusini, ambako baada ya kuona madhila yanayokumba jamii hususan wanawake kwenye mizozo amechagiza kuona wanawake wanajumuishwa na wanashiriki kwa dhati kwenye michakato ya amani.

5

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2023-05-25 21:39:36 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 5 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Hii has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN