×

Habari za UN's video: Ujumbe wa UNHCR watembelea DRC kutathimini hali ya wakimbizi

@Ujumbe wa UNHCR watembelea DRC kutathimini hali ya wakimbizi
Tangu kuanza kwa hali mbaya ya usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limekuwa likifanya kazi ya kuboresha hali ya maisha ya wakimbizi na kwa wakimbizi wa ndani. Ujumbe wa shirika hilo upo katika ziara ya siku kadhaa katika jimbo la Kivu kaskazini na umekuwa ukibadilishana mawazo na watu waliokimbia makazi yao nchini humo. Moja ya maeneo ambayo Ujumbe huo wa UNHCR umetembelea ni kambi ya wakimbizi ya Rusayo jimboni humo Kivu Kaskazini. Mwandishi wa Idhaa hii ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa nchini DRC, Byobe Malenga ameandaa makala hii kuhusu ziara hiyo.

5

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2023-06-02 21:46:51 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 5 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Tangu has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN