×

Habari za UN's video: ICCAO Tanzania: Shirika la vijana linalosaidia kufanikisha SDGs nchini Tanzania

@ICCAO Tanzania: Shirika la vijana linalosaidia kufanikisha SDGs nchini Tanzania
Mnamo tarehe Mosi Januari mwaka 2016, Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yalianza kufanyiwa kazi rasmi. Tangu wakati huo watu ulimwenguni kote kwa ngazi tofautifauti wamekuwa wakihaha kuhakikisha kufikia mwaka 2030 malengo hayo yanafikiwa. Na kila mara Makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani yamekuwa uwanja wa wazi kwa wadau kutoka kila pembe ya dunia kuja katika mikutano mbalimbali na kubadilishana uzoefu. Mfano ni Mkutano wa 68 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake duniani, CSW68 ulifanyika hivi karibuni na mmoja wa waliohudhuria ni huyu ambaye katika mahojiano haya na Anold Kayanda wa Idhaa hii tunapata kufahamu baadhi ya malengo yanavyotekelezwa na shirika lake nchini Tanzania.

0

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2024-05-09 22:29:39 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Mnamo has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN