×

Habari za UN's video: Haki ya Kuishi ni ipi udhr

@Haki ya Kuishi ni ipi? #udhr
Tamko la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu mwaka huu linatimiza miaka 75 tangu kupitishwa kwake. Katika kutathmini utekelezaji wake, tunachambua ibara kwa ibara kuona iwapo kuna mafanikio, halikadhalika changamoto. Na kwa mantiki hiyo leo tunamulika Ibara ya Tatu ya Tamko hilo inayosema Kila mtu ana haki ya kuishi, haki ya kuwa huru na kulindwa . Na mchambuzi wetu ni Getrude Dyabene Afisa Mwandamizi wa Dawati la Jinsia kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania, LHRC akihojiwa na Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani. Bi. Dyabene anaanza kwa kuelezea jinsi Katiba ya Tanzania inatambua haki ya kuishi.

1

0
Habari za UN
Subscribers
46.9K
Total Post
3.1K
Total Views
70.5K
Avg. Views
592.3
View Profile
This video was published on 2023-06-05 09:45:01 GMT by @Habari-za-UN on Youtube. Habari za UN has total 46.9K subscribers on Youtube and has a total of 3.1K video.This video has received 1 Likes which are lower than the average likes that Habari za UN gets . @Habari-za-UN receives an average views of 592.3 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Habari za UN gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Habari za UN #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Tamko has been used frequently in this Post.

Other post by @Habari za UN