×

Jicholauswazi's video: Huruma yako inahitajika tunusuru maisha ya Mama na mtoto

@Huruma yako inahitajika tunusuru maisha ya Mama na mtoto
Mtoto fahadi na mama yake waishio majohe,gongolamboto wanaishi katika kazingira magumu ya kiafya Kwa Mtoto huyu pamoja na uchumi fahadi nimtoto alie na ulemavu wa kichwa kikubwa unao sababishia ashindwe kukaa na kusimama vyema, mama yake ndie anaefanya shughuli zakukaa nae ama kumbeba muda mwingi Haki inayofanya ashindwe kufanya ghuli yoyote yakuwahudumia huku mzazi mwenzake akiwa ametoweka kutokana na matatuzo ya Mtoto huyo ,mama Huyo ameomba watanzania wamsaidie aweze Kupata mahitaji yatakayomsaidia kumudu kiasi changamoto alizonazo fahadi anahitaji kiti mwendo (wheelchair), dhamani yake ikiwa ni shilingi 500,000 /=,bima ya afya yenye dhamani ya shilingi 50,400 /=Pia Ameomba Kama Ataweza Kusaidika Aweze Kupata mtaji Mdogo Wa biashara Akihitaji magunia japo mawili Yamkaa ili aweze kuyafanyia biashara magunia hayo kila moja likiuzwa shilingi elfu 80,000/=. Watanzania kwuungwana wenu tunaomba tumsaidie mama huyu pamoja na Mtoto wake .CHANGIA KILE ULICHOJAALIWA KWA AIRTEL MONEY 0789 517 009 JINA JICHOLAUSWAZI.

1

0
Jicholauswazi
Subscribers
197K
Total Post
1.1K
Total Views
543.9K
Avg. Views
6.9K
View Profile
This video was published on 2023-03-01 15:13:14 GMT by @Jicholauswazi on Youtube. Jicholauswazi has total 197K subscribers on Youtube and has a total of 1.1K video.This video has received 1 Likes which are lower than the average likes that Jicholauswazi gets . @Jicholauswazi receives an average views of 6.9K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Jicholauswazi gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Jicholauswazi