×

Jikoni na Asya's video: Mkate wa sinia Mkate wa kumimina Rice cake recipe Swahili recipes

@Mkate wa sinia/Mkate wa kumimina/ Rice cake recipe/Swahili recipes
MKATE WA SINIA AU WA KUMIMINA ____________________________________ UTAHITAJI... 1.Mchele vikombe vinne (nimetumia pishori) 2.tui zito kikombe kimoja 3.tui jepesi vikombe viwili na nusu 4.hamira paketi mona 5.iliki nusu kijiko nusu cha chai 6.sukari vikombe viwili na robo MAELEZO... 1.roweka mchele kwa takriban masaa 6 au unaweza kuroweka usiku ukatumia siku ya pili 2.mimina mchele ,tui,iliki na hamira kwenye blender usage kwa dakika kama tano(usisage mfululizo utaharibu blender, saga kwa kupumzisha) 3.ukishalainika kiasi tia sukari na endelea kusaga mpaka uhisi chenga za mchele kwa mbali. Utatumia kama dakika 10 kusaga mchele. unaweza kusaga zaidi kulingana na blender yako.... 4.ukishasagika mimina kwenye bakuli lenye nafasi upate kuumuka (lisaa limoja na nusu) 5.ukishaumuka mimina kwenye sufuria uliyopaka mafuta na uchome 6.unaweza kuchoma kwa makaa kwa moto wa juu na chini au oven moto wa 200° kwanza kwa dakika 10 ,kisha punguza moto kwa 180° uchome mpaka ukauke na uwe na rangi upendayo 7.ungoje upoe ndio ukate, ukikata ukiwa moto utauvuruga! ENJOY!!! ANGALIZO... ukianza kusaga mchele na sukari huchukua muda kusagika.Bora usage mchele peke yake kisha sukari utatia badae... USISAHAU KU LIKE,COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE !! AHSANTENI!!

25

3
Jikoni na Asya
Subscribers
5.8K
Total Post
109
Total Views
259.7K
Avg. Views
3.2K
View Profile
This video was published on 2019-07-28 10:42:17 GMT by @Jikoni-na-Asya on Youtube. Jikoni na Asya has total 5.8K subscribers on Youtube and has a total of 109 video.This video has received 25 Likes which are higher than the average likes that Jikoni na Asya gets . @Jikoni-na-Asya receives an average views of 3.2K per video on Youtube.This video has received 3 comments which are lower than the average comments that Jikoni na Asya gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Jikoni na Asya