×

Jikoni na Asya's video: Jinsi ya kutengeza FONDANT How to make fondant fondant recipe cake icings

@Jinsi ya kutengeza FONDANT/ How to make fondant/ fondant recipe/cake icings
Assalaamu aleykum warahmatullahi wabarakaatuh..... Kwa wale wenye kupenda kupamba keki wanajua kuna aina nyingi za 'icing za keki,fondant ikiwa moja wapo.k kwa wasiojua ,fondant ni aina ya icing ya keki inayotengenezwa kutumia sukari na vifaa vingine mbali mbali .Inatumika kutengeneza design za keki mbali mbali haswa za harusi.Recipe hii ni rahisi na haraka sichukui mda mwingi...vifaa unaweza kupata kwenye maduka yanayouzwa vifaa vya keki ama supermarket. FONDANT ICING _________________ Mahitaji... 1.icing sugar kilo moja 2.gelatin kijiko 1 kikubwa 3.mafuta ya glycerine vijiko 2 vikubwa 4.glucose syrup nusu kikombe 5.maji baridi robo kikombe 6.vanilla/ arki upendayo matayarisho.... 1.mimina maji baridi kwenye chombo cha kupikia ,nyunyiza gelatin kwenye maji baridi kisha wacha igande kwa muda wa dakika 5 takriban. 2.ikisha ganda,iweke kwenye moto mdogo sana ukikoroga mpaka iyayuke. 3.mimina glucose syrup na glycerin .koroga mpaka zishikane vizuri 4.itoe kwenye moto uwache ipod. 5.mimina mchanganyiko kwenye bakuli la icing sugar pamoja na arki. 6.changanya vizuri mpaka upate donge kama la unga wa chapati . 7.hifadhi kwenye container iliyo na mfuniko 8.Tayari kwa kutumia kwenye keki.kwa matokeo mazuri zaidi,iwache kwa muda wa masaa 8 hivi kabla hujatumia ndio itavutika vizuri. (Angalizo).. unaweza kutengeneza icing hii siku kadhaa kabla ya siku unayotaka kutumia,bora uhifadhi vizuri kwenye container isiyopitisha upepo!!! asanteni sana kwa ushirikiano wenu na mungu awabariki!!! MUSISAHAU KU LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE KWA RECIPE ZAIDI!!!

83

33
Jikoni na Asya
Subscribers
5.8K
Total Post
109
Total Views
259.7K
Avg. Views
3.2K
View Profile
This video was published on 2019-07-10 23:15:30 GMT by @Jikoni-na-Asya on Youtube. Jikoni na Asya has total 5.8K subscribers on Youtube and has a total of 109 video.This video has received 83 Likes which are higher than the average likes that Jikoni na Asya gets . @Jikoni-na-Asya receives an average views of 3.2K per video on Youtube.This video has received 33 comments which are higher than the average comments that Jikoni na Asya gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Jikoni na Asya