×

JuaCaliGenge's video: JUACALI - RRRRRRRRRR OFFICIAL AUDIO JUACALI - MASWALI KIBAO BSIDE SKIZA 8541340 TO 811

@JUACALI - RRRRRRRRRR (OFFICIAL AUDIO) JUACALI - MASWALI KIBAO (BSIDE)['SKIZA 8541340' TO 811]
MALI YA UMMA The Album is now Streaming on all Platforms. Visit Ebrahims Shop E3, Moi Avenue and Grab a physical copy of the Album. Call: 0710933484 To make 'RRRRRRRRRR' Your Skiza tune (Send 'SKIZA 8541340' TO 811) To make 'MASWALI KIBAO' Your Skiza tune (Send 'SKIZA 8541338' TO 811) RRRRRRRRRR (LYRICS) Verse 1 Me nakuambia Umebarikiwa si mchezoRRRRR Kila kitu iko sawa kutoka mguu mpaka menoRRRR Nitafanya juu chini nisikuumizeRRRR Roho yako hio safi niilindeRRRRR Lazima dunia mzima ijue we ni wanguRRRRR Na hivi karibuni unakuja kuishi kwanguRRRRR Nikuchunge daily vile inafaa Sababu jo we ni manzi wa maanaRRRRR Na ni muhimu ujue unapendwa sanaRRRRRR Tena sana na ni zaidi ya janaRRRRRR Ama juzi pia vile utatakaRRRRR We si baiby tena we ni MamaRRRRR Sai Wanaongea mbaya lakini me siwaskizi Umenikoroga ata siskii wanasema niniRRRRR Niambie kitu yoyote me nitafanyaRRRRR Niambie mahali popote me nitahamaRRRRR CHORUS : MIMI MI NAKUPENDA MIMI MI NAKUPENDA MIMI MI NAKUPENDA HAKUNA MWENGINE*2 Verse 2 Nachanganyikiwa kila saa nikikuonaRRRRR Mtu wangu we ni addictive ka SocceRRRRR Premier league we ni number mojaRRRRR Hawa wengine itabidi wamengojaRRRRR Chini chini wanajaribu kunyemelea Chini chini wanajaribu kunihemea Lakini niko focused mbaya sanaRRRRRR Hakuna kitu inaeza ni toa hapaRRRRR Ni wewe na mimi mimi na wewe Na itakua hivyo wapende wasipendeRRRRRR Kazi yao nikutuangalia tu Na roho ngumu zikona machunguRRRRRR Me nakaa hapa tu nikicheka Hawatambui vile roho yangu umeiwezaRRRRR Na ni Miaka mingi itabaki hivyo Na utakua na mimi mpaka mwishoRRRRRR CHORUS : MIMI MI NAKUPENDA MIMI MI NAKUPENDA MIMI MI NAKUPENDA HAKUNA MWENGINE*2 Verse 3 Usijitishe na kitu yoyoteRRRRR Usitishwe na mtu wowoteRRRRR Nangos ikipigwa we jua ni biashara Ya kujenga maisha ya baadaye ikue sawaRRRRR Unajua kunituliza ka nimechokaRRRRR Jioni hausau kuniwekea maji ya kuogaRRRRR Nikiingia kejani unanivua viatuRRRRRR Massage kiasiRRRRR mpaka ma saa tatuRRRRRR Halafu unaanda Chakula tamu kwa mezaRRRRRR Kwanza kuku ya jana iliwezaRRRRRR Ona vile boy wako amenawiri Maisha ya ubachelor staki si siri unapiga magoti unaniambia ahsanteRRRRRR napiga magoti nakupiga mateRRRRR nakuangalia kwa macho nakuambia nakupendaRRRRR hakuna mtoto mwengine ka wewe Miss KenyaRRRRRRRRRR CHORUS : MIMI MI NAKUPENDA MIMI MI NAKUPENDA MIMI MI NAKUPENDA HAKUNA MWENGINE*4

528

97
JuaCaliGenge
Subscribers
26K
Total Post
124
Total Views
496K
Avg. Views
5.6K
View Profile
This video was published on 2019-05-02 21:30:02 GMT by @JuaCali on Youtube. JuaCaliGenge has total 26K subscribers on Youtube and has a total of 124 video.This video has received 528 Likes which are higher than the average likes that JuaCaliGenge gets . @JuaCali receives an average views of 5.6K per video on Youtube.This video has received 97 comments which are higher than the average comments that JuaCaliGenge gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.JuaCaliGenge #JUACALI #RRRRRRRRRR #MASWALIKIBAO has been used frequently in this Post.

Other post by @JuaCali