×

JuxVEVO's video: Jux - Sumaku Official Audio ft Vanessa Mdee

@Jux - Sumaku (Official Audio) ft. Vanessa Mdee
Jux delivers the official audio to Sumaku, featuring Vanessa Mdee. Available to download/stream via: http://africori.to/sumaku © 2019 African Boy Follow Jux Facebook: https://www.facebook.com/Juma-Jux-553 Instagram: https://www.instagram.com/juma_jux/ Twitter: https://twitter.com/africanboyjux/ Subscribe here: - http://smarturl.it/YouTube_Subscribe Digital distribution: http://www.africori.com/ Lyrics: Intro: Vee money on the track yee S2Kizzy Baby Aahh, Verse: Jux Shawty badder She got me high kama beat ya S2kizzy Nisipomuona sekunde nammiss Najiuliza amenipa ninii? Kila stori nayopiga ye ndo mada Nangombana kabisa wakimdiss Na kuumia kwa moyo nahisi Najuliza amenipa niniii? Pre-Chorus: Jux Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) Hakuna tunguri mambo ya chale Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) Hakuna tunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare (Yeeiyee) Chorus: Jux Ananivuta vuta kama magnet I belong to you, U belong to me baby Ananivuta vuta kama magnet I do na do na do na do yeyeee Ananivuta vuta kama magnet Yeah yeah yeah... Ananivuta vuta kama magnet I do, I do, I do, ooh yeah Suma suma suma-ku, Suma suma suma-ku Suma suma suma-ku, sumaku sumaku Verse: Vanessa Mdee Baby please, Tell me you want more What you like about the feeling? Honestly, I wanna show you, I’m feeling you too Lemmi take you to a nice place, tuzime taa Nivute nikunase, utashangaa Nikupe vitu vyote, upate raha Am caught up in you And am tempted to stay up (Yooh Yooh) Oooh baby (Oooh baby) Nikikuona nazubaa (Oooh baby) Oooh baby (Oooh baby) Mi napandwa na kichaa (oooh baby) Pre-Chorus: Jux Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) Hakuna tunguri mambo ya chale Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare (Auww) Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) yo Hakuna tunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Chorus: Jux Ananivuta vuta kama magnet I belong to you, U belong to me baby Ananivuta vuta kama magnet I do na do na do na do yeyeee Ananivuta vuta kama magnet Yeah yeah yeah... Ananivuta vuta kama magnet I do, I do, I do, ooh yeah Suma suma suma-ku, Suma suma suma-ku Suma suma suma-ku, sumaku sumaku Outro: Jux Anatuvua Kila akitupa nyavu Anachukua Aah visenti vyetu vyote Anatuvua Aah mama kila akitupa nyavu Anachukua Hatutoki eeh Anatuvua Aah-ah akitupa nyavu Anachukua Yaani visenti vyetu vyote Anatuvua Mama mama ma. Anachukua Yeee ye ye ye ye http://vevo.ly/RqHTpv

3.3K

556
JuxVEVO
Subscribers
139K
Total Post
11
Total Views
36M
Avg. Views
3.3M
View Profile
This video was published on 2019-06-27 12:30:27 GMT by @JuxVEVO on Youtube. JuxVEVO has total 139K subscribers on Youtube and has a total of 11 video.This video has received 3.3K Likes which are lower than the average likes that JuxVEVO gets . @JuxVEVO receives an average views of 3.3M per video on Youtube.This video has received 556 comments which are lower than the average comments that JuxVEVO gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @JuxVEVO