×

JuxVEVO's video: Jux - Sumaku Official Music Video ft Vanessa Mdee

@Jux - Sumaku (Official Music Video) ft. Vanessa Mdee
Tanzanian R&B king Juma Jux strikes yet again with another serenading release SUMAKU featuring his ex-girlfriend Vanessa Mdee. The S2Kizzy produced-track is his second release this year and the lead single off his upcoming debut studio project, “The Love Album”. The love jam comes on the backdrop of Jux and Vanessa 2016 collaboration “Juu”. Just like the title (Sumaku is Swahili for Magnet), the R&B song is an attractive yet infectious sound. Video Shot in Kisarawe, Dar es salaam, Tanzania by Tanzanian Director Ivan and produced by African Boy. Available to download/stream via: iTunes, Apple Music, Spotify, Deezer, Google Play, Amazon, MTN Music+, Simfy: http://africori.to/sumaku Mkito (App): http://bit.ly/SumakuMkitoApp (For Streaming - Android Users) Mkito (Web): http://bit.ly/SumakuDownload (For Downloading) Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/music/6941786 Mdundo: https://mdundo.com/song/1362830 © 2019 African Boy Follow Jux Facebook: https://www.facebook.com/Juma-Jux-553 Instagram: https://www.instagram.com/juma_jux/ Twitter: https://twitter.com/africanboyjux Subscribe here: - http://smarturl.it/YouTube_Subscribe Digital distribution: http://www.africori.com/ Lyrics: Intro: Vee money on the track yee S2Kizzy Baby Aahh, Verse: Jux Shawty badder She got me high kama beat ya S2kizzy Nisipomuona sekunde nammiss Najiuliza amenipa ninii? Kila stori nayopiga ye ndo mada Nangombana kabisa wakimdiss Na kuumia kwa moyo nahisi Najuliza amenipa niniii? Pre-Chorus: Jux Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) Hakuna tunguri mambo ya chale Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) Hakuna tunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare (Yeeiyee) Chorus: Jux Ananivuta vuta kama magnet I belong to you, U belong to me baby Ananivuta vuta kama magnet I do na do na do na do yeyeee Ananivuta vuta kama magnet Yeah yeah yeah... Ananivuta vuta kama magnet I do, I do, I do, ooh yeah Suma suma suma-ku, Suma suma suma-ku Suma suma suma-ku, sumaku sumaku Verse: Vanessa Mdee Baby please, Tell me you want more What you like about the feeling? Honestly, I wanna show you, I’m feeling you too Lemmi take you to a nice place, tuzime taa Nivute nikunase, utashangaa Nikupe vitu vyote, upate raha Am caught up in you And am tempted to stay up (Yooh Yooh) Oooh baby (Oooh baby) Nikikuona nazubaa (Oooh baby) Oooh baby (Oooh baby) Mi napandwa na kichaa (oooh baby) Pre-Chorus: Jux Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) Hakuna tunguri mambo ya chale Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare (Auww) Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha) Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) yo Hakuna tunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Chorus: Jux Ananivuta vuta kama magnet I belong to you, U belong to me baby Ananivuta vuta kama magnet I do na do na do na do yeyeee Ananivuta vuta kama magnet Yeah yeah yeah... Ananivuta vuta kama magnet I do, I do, I do, ooh yeah Suma suma suma-ku, Suma suma suma-ku Suma suma suma-ku, sumaku sumaku Outro: Jux Anatuvua Kila akitupa nyavu Anachukua Aah visenti vyetu vyote Anatuvua Aah mama kila akitupa nyavu Anachukua Hatutoki eeh Anatuvua Aah-ah akitupa nyavu Anachukua Yaani visenti vyetu vyote Anatuvua Mama mama ma. Anachukua Yeee ye ye ye ye http://vevo.ly/MHntoA

15K

1.1K
JuxVEVO
Subscribers
139K
Total Post
11
Total Views
36M
Avg. Views
3.3M
View Profile
This video was published on 2019-07-11 15:20:43 GMT by @JuxVEVO on Youtube. JuxVEVO has total 139K subscribers on Youtube and has a total of 11 video.This video has received 15K Likes which are lower than the average likes that JuxVEVO gets . @JuxVEVO receives an average views of 3.3M per video on Youtube.This video has received 1.1K comments which are lower than the average comments that JuxVEVO gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.JuxVEVO #Jux #VanessaMdee #Sumaku http://vevo.ly/MHntoA has been used frequently in this Post.

Other post by @JuxVEVO