×

JuxVEVO's video: Jux - Fimbo Official Music Video

@Jux - Fimbo (Official Music Video)
Jux delivers the official music video for Fimbo Available wordwide soon. Watch more videos from Jux: 'Wivu': https://www.youtube.com/watch?v=jDbLQ... 'One More Night': https://www.youtube.com/watch?v=lAt2p... 'Looking For You' (ft. Joh Makini): https://www.youtube.com/watch?v=0BkXx... 'Nikuite Nani': https://www.youtube.com/watch?v=gI8CL... Digital distribution by Africori: http://www.africori.com Aaaaam Records Abaaaaah Verse 1 Kwanza kabisa thanks to the Lord ( To The Lord, To The Lord ) Uzuri wako si wa kudownload ( Download wa kudownload ) Unanishangaza kila siku mi sichoki Mwingine kama weeee mi sitaki Pre Hook Wewe ndiyo fimbo yangu baby Ongeza raha zaidi mami Nikuweke tu kabisa ndani Kwangu wewe ndiyo burudani Wewe kiboko yangu baby Ongeza utamu zaidi mami Ni Wewe tu tu baby Ni Wewe Chorus I’ll give you everything yeah ( unanivuruga eeeh, unanivuruga ) I’ll give you everything darling, I’ll give you everything ( unanivuruga eeeh, unanivuruga ) Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee ( I’ll give you everything ) Nitakupa moyo wangu na noti, chochote unachotaka wee ( I’ll give you everything) Ahhh yaaa yaaaa Ahhhh yaaa yaaa yaaa yaaa yaaa x2 Verse 2 Una rangi ya chocolate Magnetic Romantic Jinsi ulivyo humble baby, so sexy. Wanivuta zaidi Kurudi nyumbani late mi sitaki (kurudi Nyumbani late mi sitaki ) Sababu nina wivu Moyoni ukiwa mbali ( sababu nina wivu moyoni ) Pre Hook Wewe ndiyo fimbo yangu baby Ongeza raha zaidi mami Nikuweke tu kabisa ndani Kwangu wewe ndiyo burudani Wewe kiboko yangu baby Ongeza utamu zaidi mami Ni Wewe tu tu baby Ni Wewe Chorus I’ll give you everything yeah ( unanivuruga eeeh, unanivuruga ) I’ll give you everything darling, I’ll give you everything ( unanivuruga eeeh, unanivuruga ) Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee ( I’ll give you everything ) Nitakupa moyo wangu na noti, chochote unachotaka wee ( I’ll give you everything) Bridge Unanivuruga eeeeh Unanivuruga Vuruga unanivuruga My Mama Unanivuruga eeeeh Unanivuruga vuruga UNANICHANGANYA Unanivuruga eeeeh Unanivuruga Vuruga Yaani sioni sisikii Unanivuruga eeeeh Unanivuruga Vuruga Yaani siwezi Unanivuruga eeeeh Unanivuruga Vuruga Mama Siwezi Unanivuruga eeeeh Unanivuruga Vuruga Yaani mimi kwako sisikii baby Yeaaaaaaaaaaaaaaa Unanivuruga eeeeh Unanivuruga Vuruga Unaniiiii vuruga UNANICHANGANYA changanya Unanivuruga vuruga ( til fade ) http://vevo.ly/rJlp3e

17.8K

1.5K
JuxVEVO
Subscribers
139K
Total Post
11
Total Views
36M
Avg. Views
3.3M
View Profile
This video was published on 2018-03-14 20:30:22 GMT by @JuxVEVO on Youtube. JuxVEVO has total 139K subscribers on Youtube and has a total of 11 video.This video has received 17.8K Likes which are higher than the average likes that JuxVEVO gets . @JuxVEVO receives an average views of 3.3M per video on Youtube.This video has received 1.5K comments which are higher than the average comments that JuxVEVO gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @JuxVEVO