×

KTV TZ ONLINE's video: UWEZO WA QATAR MKUMBWA MNOO RAIS MWINYI AWASHAWISHI l NEEMA KUMIMINIKA TANZANIA

@UWEZO WA QATAR MKUMBWA MNOO, RAIS MWINYI AWASHAWISHI l NEEMA KUMIMINIKA TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameanza ziara yake rasmi nchini Qatar kwa mafanikio makubwa leo. Katika siku ya kwanza ya ziara hiyo, Dk. Mwinyi amekutana na Waziri wa Nchi wa Qatar anayeshughulikia masuala ya Nishati, Mheshimiwa Saad bin Sherida Al-Kaabi, kwa mazungumzo muhimu. Mazungumzo hayo yamefungua fursa kubwa ya Qatar kuiuzia Tanzania mbolea aina ya Urea kwa gharama nafuu, jambo linalotarajiwa kuongeza tija kwa sekta ya kilimo nchini. Katika mkutano huo, walihudhuria pia Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Mheshimiwa Habib Awesi Mohammed, na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea ya Tanzania (TFC), Samwel Ahadi Mshote. Kesho, Rais Dk. Mwinyi anatarajiwa kushiriki mkutano mkubwa wa Kimataifa wa kuadhimisha miaka 30 ya Familia Duniani, utakaofanyika jijini Doha. Mkutano huu ni sehemu ya maadhimisho ya Azimio la Umoja wa Mataifa la Mwaka wa Kimataifa wa Familia (IYF), lililopitishwa mwaka 1994. Mwaka wa Kimataifa wa Familia unalenga kuonyesha umuhimu wa kulinda na kusaidia familia kupitia sheria za kimataifa, huku maazimio yake yakifanyika kila baada ya miaka kumi. Endelea kufuatilia safari ya Rais Dk. Mwinyi na mafanikio ya ziara yake nchini Qatar! ✨ Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

27

21
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2024-10-29 22:20:56 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 27 Likes which are lower than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 21 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @KTV TZ ONLINE