×

KTV TZ ONLINE's video: MAITI YA MTOTO YATOLEWA MTONI BAADA YA KUZAMA ZIWA MABOGA

@MAITI YA MTOTO YATOLEWA MTONI BAADA YA KUZAMA ‘ZIWA MABOGA
Mtoto mmoja Mwenye umri wa Miaka 16 amefariki dunia baada ya kuzama katika Bwawa la ziwamaboga lilioko tomondo wakati akivua samaki baridi katika bwawa hilo. Akithibitisha kuokolewa kwa mtoto huyo Mkuu wa Kitengo cha uzamiaji kutoka kikosi cha zimamoto na uokozi Zanzibar STAFF SAGENT KASSIM HAJI KIBUDU amesema walipata taarifa ya kuzama kwa mtoto aliefahamika kwa jina la Hafidh Kombo mkaazi wa Tomondo majira ya saa 2 asubuhi na kufika katika eneo la tukio kuanza zoezi la kumtafuta na kufanikiwa kumuona saa 4 asubuhi . Mashuhuda wa tukio hilo Nassir Moh d Haji na Bi Fatma Ali Moh d wamesema mtoto huyo alikuwa akivua samaki na watoto samaki baridi katika bwawa hilo na maji ndipo yalipomzidi na kuanza kuomba msaada wa kuokolewa baada kuzama . Kufuatia tukio hilo Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis amefika katika eneo la tukio na kuiipa pole familia ya mtoto huyo aliefariki sambamba na kupiga marufuku shughuli za uvuvi wa samaki katika bwawa hilo. Bwawa la Ziwa maboga la Tomodo limekuwa likileta athari kubwa kwa wananchi ikiwemo mafuriko kipindi cha mvua pamoja na kuzama kwa watu na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inampango wa kulifanyia ukarabati bwawa hilo kupitia mradi wa BIG ZEE ili kuweza kuondoa athari kwa wakaazi wa maeneo hayo. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

28

13
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2022-12-22 00:23:36 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 28 Likes which are lower than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 13 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @KTV TZ ONLINE