×

KTV TZ ONLINE's video: SHUHUDIA RAISI SAMIA ALIVYO FIKA KWA MZEE MWNYI LEO KUTOA POLE SIMANZI MSIMBA MZITO

@SHUHUDIA RAISI SAMIA ALIVYO FIKA KWA MZEE MWNYI LEO KUTOA POLE | SIMANZI | MSIMBA MZITO
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan leo ameifariji na kutoa mkono wa pole familia ya Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, kutokana na kifo cha mtoto wake Hassan Ali Hassan kilichotolea juzi usiku katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja na kuzikwa jana Kijijini kwake Mangapwani Mkoa Kaskazini Unguja. Hafla hiyo ambayo iliambatana na dua ilifanyika nyumbani kwa Marehemu Chukwani, Mkoa Mjini Magharibi, ambapo pia Mama Samia alipata fursa ya kutoa mkono wa pole kwa Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Mwinyi, Mama Siti Mwinyi , Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi, Mke wa marehemu Fauzia Salim Hilali pamoja na wanafamilia. Rais Samia alimuomba Mwenyezi Mungu amsamehe marehemu madhambi yake na kumpumzisha kwa amani, huku akiwataka wafiwa kuwa na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mpendwa wao. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

42

8
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2022-09-01 19:00:30 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 42 Likes which are lower than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 8 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @KTV TZ ONLINE