×

KTV TZ ONLINE's video: RAIS MWINYI ATUA CHINA ULINZI UMEIMARISHWA YEYE NA MKE WAKE

@RAIS MWINYI ATUA CHINA, ULINZI UMEIMARISHWA YEYE NA MKE WAKE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Mke wake Mhe. Mama Mariam Mwinyi, wamewasili salama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pudong, Shanghai, China, wakitokea Doha, Qatar. Walipokelewa kwa heshima na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Khamis Mussa Omar. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€πŸ‡¨πŸ‡³ Mhe. Rais Dk. Mwinyi na ujumbe wake wanatarajiwa kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya 7 ya China International Import Expo (CIIE) na kutembelea mabanda mbalimbali ya washiriki wa maonesho hayo. Tanzania imetunukiwa heshima maalum ya kuwakilisha bara la Afrika kwenye maonesho haya, ikionyesha mchango wa kipekee kupitia Kampuni zaidi ya 17 na sekta kama kilimo, kazi za sanaa za mikono, bidhaa za kilimo, na uchumi wa buluu. 🌍✨ Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

38

28
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2024-11-04 22:22:46 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 38 Likes which are lower than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 28 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.KTV TZ ONLINE #Zanzibar #ChinaInternationalImportExpo #CIIE2024 #Diplomasia #Uwekezaji Angalia has been used frequently in this Post.

Other post by @KTV TZ ONLINE