×

KTV TZ ONLINE's video: DK MWINYI AFUNGUKA MAENDELEO YA FAMILIA HUKO DOHA - QATAR

@DK. MWINYI AFUNGUKA MAENDELEO YA FAMILIA HUKO DOHA - QATAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amehudhuria Mkutano wa Mwaka wa Kimataifa wa Familia uliofanyika Doha, Qatar. Mkutano huu hufanyika kila baada ya miaka 10 na unalenga kusisitiza umuhimu wa familia kama msingi wa jamii. Katika hotuba yake, Rais Dk. Mwinyi ameangazia hali ya maendeleo ya familia barani Afrika, akieleza kuwa juhudi kubwa zimefanyika kufikia malengo yaliyokusudiwa. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

10

0
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2024-10-30 21:46:36 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 10 Likes which are lower than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.KTV TZ ONLINE #Familia #Leadership #DohaSummit #Zanzibar #HusseinMwinyi #Africa Angalia has been used frequently in this Post.

Other post by @KTV TZ ONLINE