×

KTV TZ ONLINE's video: UTAPENDA RAIS MWINYI NA MKE WAKE WANAVYO JIACHIA FORODHANI NA VIJANA WA MAKACHU

@UTAPENDA!! RAIS MWINYI NA MKE WAKE WANAVYO JIACHIA FORODHANI NA VIJANA WA MAKACHU
✨ MAKACHU INAVYOITANGAZA ZANZIBAR KIMATAIFA! 🌍 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa mchezo wa makachu ni fursa muhimu ya kuitangaza Zanzibar kimataifa. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒŠ Akizungumza katika Bustani ya Forodhani alipofika kushuhudia mchezo huo maarufu unaovutia wenyeji na wageni, Dk. Mwinyi amewasisitiza vijana wanaoshiriki kuhakikisha wanaendeleza makachu, kwa kuwa mchezo huo umeanza kufuatiliwa sana kupitia mitandao ya kijamii. πŸ“²βš½ Katika tukio hilo, vijana wa makachu walitumia fursa hiyo kumpongeza Rais Dk. Mwinyi kwa mafanikio ya serikali, wakionesha mabango yenye jumbe za kupongeza maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali. Hili ni sehemu ya shamrashamra za kuadhimisha miaka minne ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nane chini ya uongozi wa Dk. Mwinyi. πŸŽ‰πŸš€ 'ara Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

87

16
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2024-10-24 23:16:01 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 87 Likes which are higher than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 16 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.KTV TZ ONLINE #ZanzibarYetu #Makachu #Forodhani #UongoziBora #MiakaNneYaMafanikio #RaisMwinyi #ZanzibarInang'ara Angalia has been used frequently in this Post.

Other post by @KTV TZ ONLINE