×

KTV TZ ONLINE's video: CHEKI UWEZO WA BANDARI KUBWA YA CHINA RAIS MWINYI AFIKA KUJIONEA UKUBWA WAKE

@CHEKI UWEZO WA BANDARI KUBWA YA CHINA, RAIS MWINYI AFIKA KUJIONEA UKUBWA WAKE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo ametembelea Bandari ya Shanghai International Port Group (SIPG) nchini China, na kukutana na uongozi wa shirika hilo. Bandari ya SIPG ni moja ya kitovu kikubwa zaidi cha biashara ya kimataifa duniani, ikihusisha usafirishaji, upakuaji, na upakiaji wa makontena kutoka mataifa mbalimbali, na ni kiungo muhimu cha usafirishaji wa mizigo kati ya bara la Asia na mabara mengine. Katika ziara hiyo, Rais Dk. Mwinyi amejionea jinsi teknolojia ya kisasa ya Akili Mnemba (AI) inavyotumika kuendesha shughuli zote za makontena kwa ufanisi mkubwa. Teknolojia hii imewezesha SIPG kusimamia shughuli zake kwa wepesi na kuboresha huduma kwa kiwango cha juu. Rais Dk. Mwinyi ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Khamis Mussa Omar, pamoja na viongozi wengine wa Serikali, wakihitimisha siku ya kipekee yenye mafunzo na ushirikiano katika nyanja za teknolojia na biashara ya kimataifa. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman https://www.youtube.com/watch?v=QQjaQ7ey9Pg https://www.youtube.com/watch?v=Mscbg7grm9Y

14

3
KTV TZ ONLINE
Subscribers
379K
Total Post
4.7K
Total Views
1.5M
Avg. Views
12.1K
View Profile
This video was published on 2024-11-06 18:12:47 GMT by @KTV-TZ-ONLINE on Youtube. KTV TZ ONLINE has total 379K subscribers on Youtube and has a total of 4.7K video.This video has received 14 Likes which are lower than the average likes that KTV TZ ONLINE gets . @KTV-TZ-ONLINE receives an average views of 12.1K per video on Youtube.This video has received 3 comments which are lower than the average comments that KTV TZ ONLINE gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.KTV TZ ONLINE #ZanzibarInChina #ShanghaiPort #BiasharaNaUshirikiano Angalia has been used frequently in this Post.

Other post by @KTV TZ ONLINE