×

MAELEZO TV's video: Mageuzi Makubwa Sekta ya Afya Songwe

@Mageuzi Makubwa Sekta ya Afya Songwe
ALIYOSEMA MKUU WA MKOA SONGWE, MHE. DKT. FRANCIS MICHAEL WAKATI WA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA MKUU WA MKOA PAMOJA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI LEO JANUARI 30, 2024 MKOANI SONGWE # Katika kipindi cha Awamu ya Sita mkoa umepokea jumla ya shilingi bilioni 300.43 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo # Mwaka 2020/2021 mkoa ulikuwa na shule za awali na msingi 453 lakini hadi sasa Desemba 2023 tuna shule za awali na 519 hili ni ongezeko kubwa # Kabla ya mwaka 2021 mkoa ulikuwa na madara 3,137 kwa sasa mkoa umeongeza madara na kufikia madarasa 3,424 # Kabla ya Awamu ya Sita mkoa ulikuwa na walimu 3,874, kufikia Desemba 2023 mkoa ulikuwa na walimu 4,007 # Kwa sasa mkoa una jumla ya shule za sekondari 153 kutoka shule 120 kabla ya Awamu ya Sita sekta ya afya na ustawi wa jamii, mkoa una vituo vya kutolea huduma za afya 263 kutoka vituo 205 kabla ya mwaka 2021, kwa sasa tuna hospitali 10, vituo vya afya 23 na zahanati 230 # Tangu mwaka 2021/2022 hadi Desemba 2023 Serikali imepokea shilingi bilioni 38.8 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya afya # Kwa upande wa barabara (TANROADS), mkoa umepokea shilingi bilioni 39.7 kwa ajili ya utengenezaji na ukarabati wa barabara # Kwa upande wa barabara (TARURA), mkoa ulipokea shilingi bilioni 42.77 kwa ajili ya maboresho ya barabara, hii imewasaidia wakulima kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka shambani hadi sokoni # Katika sekta ya maji mkoa umeshapokea shilingi bilioni 38.63 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na ukarabati kwenye sekta hii # Mwaka 2020/2021 hali ya upatikanaji wa maji safi na salama mkoani Songwe ilikuwa 54.3% vijijini asilimia 44.5 mijini ukilinganishwa na sasa ambapo asilimia zimeongezeka na kufika 78.8% vijijini na asilimia 50.6 mjini # Kwenye sekta ya umeme umeme mkoa wa Songwe umeshapokea shilingi bilioni 18.30 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme, habari njema ni kwamba umeme umeshafika kwenye vijiji vyote vya mkoa wa Songwe Imeandaliwa na Idara ya Habari - MAELEZO

0

0
MAELEZO TV
Subscribers
20.2K
Total Post
5.2K
Total Views
18.3K
Avg. Views
88.9
View Profile
This video was published on 2024-01-31 12:32:30 GMT by @MAELEZO-TV on Youtube. MAELEZO TV has total 20.2K subscribers on Youtube and has a total of 5.2K video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that MAELEZO TV gets . @MAELEZO-TV receives an average views of 88.9 per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that MAELEZO TV gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.MAELEZO TV #tumewasikiatumewafikia #msemajimkuuwaserikali #maelezotv #kaziiendelee # # # # # #Kwenye # # # # # # has been used frequently in this Post.

Other post by @MAELEZO TV