×

MUHIDIN MICHUZI's video: HOSPITALI YA TEMEKE KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA KIBINGWA BILA MALIPO SEPTEMBA 9-11 2022

@HOSPITALI YA TEMEKE KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA KIBINGWA BILA MALIPO SEPTEMBA 9-11,2022
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dkt. Joseph Kimaro amewaalika wananchi wa Temeke kujitokeza kupata huduma mbalimbali za Afya za Afya za Kibingwa zitakazotolewa katika hosptali ya Temeke jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 9-11, 2022 bila gharama yeyote. Amesema Magonjwa yafuatayo tatatolewaa huduma za afya bila Malipo • Magonjwa ya wananwake • Magonjwa ya watoto • Magonjwa ya Pua Koo na Masikio • Magonjwa ya mifupa na Majeraha ya ajali • Magonjwa ya njia ya mkojo na Tezi dume • Magonjwa ya Ndani, Kisukari, Shinikizo la Damu na Figo • Magonjwa yam ACHO na Uoni hafifu • Magonjwa ya Kinywa na Meno • Magonjwa ya Upasuaji Mkubwa na Mdogo • Magonjwa ya afya ya akili

1

0
MUHIDIN MICHUZI
Subscribers
84.4K
Total Post
1.3K
Total Views
412.9K
Avg. Views
4.8K
View Profile
This video was published on 2022-08-30 09:27:48 GMT by @MUHIDIN-MICHUZI on Youtube. MUHIDIN MICHUZI has total 84.4K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 1 Likes which are lower than the average likes that MUHIDIN MICHUZI gets . @MUHIDIN-MICHUZI receives an average views of 4.8K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that MUHIDIN MICHUZI gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @MUHIDIN MICHUZI