×

MUHIDIN MICHUZI's video: YANGA YAAPA KUENDELEZA UBABE MBELE YA MTIBWA SUGAR LEO MANUNGU TURIANI

@YANGA YAAPA KUENDELEZA UBABE MBELE YA MTIBWA SUGAR LEO MANUNGU TURIANI
Timu ya YANGA SC imeapa kuendeleza ubabe wa kjuondoka na alama tatu muhimu mbele ya timu ya MTIBWA SUGAR katika mchezo wao unaotarajiwa kutimua vumbi desema 31 mwaka huu katika dimba la Manungu Turiani majira ya saa kumi za jioni. Wakizungumza na waandishi wa habari viongozi wa timu wamesema wanawaheshimu Mtibwa kwa kuwa ni timu kongwe, na kusisitiza iwe jua iwe mvua lazima alama tatu muhimu zipatikane. Kwa upande wao viongozi wa timu ya Mtibwa Sugar wamesema wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanapambana na Yanga na kuhakikisha wanazibakisha alama tatu nyumbani licha ya Yanga kuwa na kikosi imara na msimu bora. WAZUNGUMZAJI. YUSUPH ATHUMAN, mchezaji wa Yanga. SOUD SLIM, kocha wa magolikipa wa Yanga. AWADH JUMA, kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar. RAZACK RAMADHAN, mchezaji wa Mtibwa.

0

0
MUHIDIN MICHUZI
Subscribers
84.4K
Total Post
1.3K
Total Views
412.9K
Avg. Views
4.8K
View Profile
This video was published on 2022-12-31 04:08:39 GMT by @MUHIDIN-MICHUZI on Youtube. MUHIDIN MICHUZI has total 84.4K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that MUHIDIN MICHUZI gets . @MUHIDIN-MICHUZI receives an average views of 4.8K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that MUHIDIN MICHUZI gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @MUHIDIN MICHUZI