×

MUHIDIN MICHUZI's video: TANZANIA YAJIHAKIKISHIA MEDALI YA NDONDI JUMUIYA YA MADOLA

@TANZANIA YAJIHAKIKISHIA MEDALI YA NDONDI JUMUIYA YA MADOLA
Bondia Yusuf Changalawe jana jioni Jumatano Agosti 3, 2022 amefanikiwa kuigia hatua ya Nusu Fainali baada ya kumshinda kwa *RSC (Referee stops the contest) katika round ya 1, Dakika ya 2:18 dhidi ya mpinzani wake Arthur Langelier kutoka nchi ya St. Lucia katika bout no. 119 ya uzani wa Light heavyweight 75kg - 80kg . Changalawe ameandika historia mpya ya medali katika ngumi baada ya miaka 24 ambapo Tanzania ilipata medali ya dhahabu* kupitia Bondia Marehemu Michael Yombayomba mwaka 1998 katika Michezo ya Jumuiya ya Madola iliyofanyika *Kuala lumpar, Malaysia. Changalawe atapigana hatua ya Nusu fainali siku ya Jumamosi tarehe 6-08-2022 dhidi ya S. Lazzerini kutoka Scotland. Katika Ngumi mshindi wa kwanza anapata medali ya Dhahabu, wa pili medali ya Fedha na watakaopoteza katika hatua ya nusu fainali watapata medali za Shaba katika kila uzani. Imetolewa na, Lukelo Willilo_ Katibu Mkuu - BFT Mkurugenzi wa Bodi - AFBC

8

0
MUHIDIN MICHUZI
Subscribers
84.4K
Total Post
1.3K
Total Views
412.9K
Avg. Views
4.8K
View Profile
This video was published on 2022-08-04 03:55:44 GMT by @MUHIDIN-MICHUZI on Youtube. MUHIDIN MICHUZI has total 84.4K subscribers on Youtube and has a total of 1.3K video.This video has received 8 Likes which are lower than the average likes that MUHIDIN MICHUZI gets . @MUHIDIN-MICHUZI receives an average views of 4.8K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that MUHIDIN MICHUZI gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @MUHIDIN MICHUZI