×

Mashariki TV's video: Habari za UN: Tai Tanzania na haki za binadamu Msichana Njaro avuka vigingi vya unyanyapaa

@Habari za UN: Tai Tanzania na haki za binadamu Msichana Njaro avuka vigingi vya unyanyapaa
Taasisi ya Tai Tanzania ambao pia ni washirika wetu wanatumia teknolojia ya katuni kuelimisha jamii kuhusu masuala mbalimbali ya usawa. Hii leo katika mada kwa kina Tai Tanzania wanatumia teknolojia ya katuni chapa tatu, kwa lugha ya kiingereza 3D Animation films kwenye igizo la binti mwenye ualbino aitwaye Njaro Chanja katika harakati zake za kubuni taa janja na changamoto anazokutana nazo kuanzia nyumbani kwa shangazi yake mpaka shuleni kwa baadhi ya wanafunzi wenzake.

0

0
Mashariki TV
Subscribers
280K
Total Post
11.3K
Total Views
259.2K
Avg. Views
1.8K
View Profile
This video was published on 2022-10-26 01:00:03 GMT by @Mashariki-TV on Youtube. Mashariki TV has total 280K subscribers on Youtube and has a total of 11.3K video.This video has received 0 Likes which are lower than the average likes that Mashariki TV gets . @Mashariki-TV receives an average views of 1.8K per video on Youtube.This video has received 0 comments which are lower than the average comments that Mashariki TV gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @Mashariki TV