×

Maua Sama's video: Maua Sama - WIVU ft Aslay Official Video

@Maua Sama - WIVU ft. Aslay (Official Video)
Song: Wivu Artists: Maua sama ft Aslay Follow Maua Sama: https://www.instagram.com/mauasama https://twitter.com/MauaSama https://www.facebook.com/MauaSamaOfficial Maua Sama Bookings Info: mauasamalive@gmail.com | maua@mauasama.co.tz Cell/WhatsApp +255677775566 Song Lyrics: Aslay: Vimambo vyangu natupa kule Sinegen’geneki nikafa bure Kwako ni mfu msukule Kwa baby yake piga kelele Maua Sama: Mi hali yangu mbona shwari baby wee Niko jikon nasonga ugali Uje ule baba we Aslay: Roho yangu safi Mungu kanipa Ninachotaka kwa wakati na,Enjoy Sitaki kuwa Mswati nimeridhika Michepuko na Mwendokasi bye bye Maua Sama: Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam Chorus: Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2 Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana Maua Sama: Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani, Uwe na Mimi tu ndani / uwe na mimi mwandani aii wewe Nshakolea penzi me nipo mahabani Sipingi sibishani we ndo wakwangu Mimi nielewee Aslay: Uzuri hutaki pochi, hutaki noti Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti Benzema Mess pasi kwa pasi mi Na wewe Maua Sama: Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patam Chorus: Wanajua tunavyopendana mi nawe wanaona wivu tunavyopendana *2 Wanajua nilivyoshibana nawe ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana me na we wanaona wivu tunavyopendana

11.8K

788
Maua Sama
Subscribers
398K
Total Post
94
Total Views
35.8M
Avg. Views
896K
View Profile
This video was published on 2021-01-28 16:42:12 GMT by @Maua-Sama on Youtube. Maua Sama has total 398K subscribers on Youtube and has a total of 94 video.This video has received 11.8K Likes which are higher than the average likes that Maua Sama gets . @Maua-Sama receives an average views of 896K per video on Youtube.This video has received 788 comments which are higher than the average comments that Maua Sama gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.Maua Sama #MauaSama #Wivu #Aslay #Mziiki Follow has been used frequently in this Post.

Other post by @Maua Sama