×

TL. Marandu's video: Nyerere Baada Ya Maasi Ya Jeshi La Tanganyika Jan 1 1964

@Nyerere Baada Ya Maasi Ya Jeshi La Tanganyika Jan 1 1964
TAFSIRI, Nyerere: Tumejifunza Kuwa Ni Makosa Kwa Wale waliopewa Jukumu la Kulinda Usalama wa Raia, Ati wao Ndio Wawe wa Kutishia Usalama wa Raia hao. Anaendelea.. Siku ya Jumatatu Jeshi la Marisaa la Tanganyika, Bataliani ya Tatu lilikuwa na Manunguniko yao wakafanya Utovu wa nidhamu, au Kile kilichoitwa, "Uasi" Lakini ilipofikia Mchana Uasi huo Ukawa Umemalizwa. Na askari wakarudi kambini, Hata hivyo Madhara yalishatokea, Kama Matokeo ya Uasi huo, Baadhi ya Wananchi wakaanza Kupora Maduka na Vitendo vingine vya Kihalifu, Hapo Ndipo Ikabidi Wanajeshi na Polisi Warudishwe tena Mitaani Kuzuia Uhalifu Huo. Ni Katika Zoezi hilo Ndipo Maisha ya watu yalipotea. Itakuwa Ni Upumbavu Kusema Matukio haya yalikuwa jambo dogo au hayakuadhiri heshima ya Tanganyika. Mwandishi Mzungu, "Je hawa waliohusika kwenye Uasi Wataadhibiwa"? Mwalimu. .. Tabasamu... "Je Niseme Nawashukuru kwa Ukarimu wenu wa Kunisikiliza"?

7

2
TL. Marandu
Subscribers
118K
Total Post
759
Total Views
100.4K
Avg. Views
1.3K
View Profile
This video was published on 2021-01-03 23:29:38 GMT by @TANZANIA-RESISTANCE-MOVEMENT---TAREMO on Youtube. TL. Marandu has total 118K subscribers on Youtube and has a total of 759 video.This video has received 7 Likes which are lower than the average likes that TL. Marandu gets . @TANZANIA-RESISTANCE-MOVEMENT---TAREMO receives an average views of 1.3K per video on Youtube.This video has received 2 comments which are higher than the average comments that TL. Marandu gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @TANZANIA RESISTANCE MOVEMENT TAREMO